Saturday, April 18, 2009

Jofly's free select soon on the blog.

Oya wadau inakuwaje!?Embu tujaribu kuliweka hili sawa.Kwa sasa katika ka blogu ketu kutakuwa na kitu kipya kitachoitwa Jofly's select.Ndani kutakuwa na chati mbali mbali kama maproducer bora,bongo flava bora,video bora za kibongo,vipindi bora vya redio bongo,wasanii wa kali kwa style za kurap,wa kuimba,wenye mistali mikali na mambo kibao so stay tuned.

Friday, April 10, 2009

Jo'fly beats for sale

Haya haya wadau,This time around kizuri kinajitembeza ili kijiuze.habari njema na ya kibiashara zaidi,beats za muziki wa hiphop,zouk,RnB na Afrojaz zinapatikana katika ubora wa hali ya juu na kwa bei nafuu.kwa wale wote wenye mahitaji hayo tuwasiliane kwa 0714800285.

Monday, April 6, 2009

Kwa producers wanachipukia

Kwa wale wapishi wa muziki wanachipukia na wale wenye mapenzi na fani hii, nafasi yao ya kupata kile wanachohitaji imewadia kwani blog hii itakuwa inato habari na taarifa mbali mbali kuhusu fani ya u producer,pia utakuwa na nafasi ya kuuliza maswali na kutoa maoni yako au hata somo lako pamoja na kusaidiana kwa masuala mbali mbali yanayohusu fani hii.kwa kuanzia tembeleeni www.futureproducers.com kwa ufahaamu zaidi kuhusu fani hii.

Soundlab studios ready to take over Tanzania

Studio za kisasa za ku rekodi miziki pamoja na matangazo ya biashara(jingles) ,sasa zipo tayari kufanya mabadiliko katika tasnia y aburudani nchini tanzania kutokana na kusheheni vifaa vya kisasa pamoja na wataalam wakali wa masuala ya sound engineering Dj Dexter na Mbezi.Studio hiyo yenye makazi yake Ukonga mombasa jijina dar es salaam inakaribisha wasanii pamoja na wale wote wenye matangazo wakafurahie huduma zao.kwa maelezo zaidi tembelea soundlab.co.tz

killi awards 2009 kama kawa

Katika hali ambayo inaonesha kwa jinsi gani kale kaugonjwa ka hawa wandugu ka kuboronga kamekosa dawa,this time KILI pipo did it again,tena this time sio kwenye tuzo peke yake bali hata organisation ya tafrija yenyewe.Poor sound,poor schedule,poor guest artist and poor them.